beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akiwa Nachingwea Mkoani Lindi amesema watakaoleta maendeleo ni Viongozi wa CCM.
Amesema, "Tumeanza kuona watu wanakuja wanaomba kura, badala ya kufanya hivyo kwa amani wanapanda jukwaani kazi yao ni matusi, wengine wanakuja kulaumu".
Amewataka wananchi kukataa Viongozi wa aina hiyo kwa kutumia kura yao kesho, akisema Rais anayetakiwa ni yule atakayeleta maendeleo kwenye maeneo yote ambayo Watanzania wanayahitaji.