beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Viwanda vyote ambayo havifanyi kazi vimesharatibiwa na vitatolewa kwa watu wenye uwezo. Ameeleza, Serikali ilichukua Viwanda vyote ambavyo havifanyi vizuri na vinafanyiwa uchambuzi
Amesema hayo Bungeni wakati akimjibu Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe, aliyehoji msimamo wa Serikali kuhusu viwanda vilivyobinafsishwa ambavyo havifanyi kazi zilizokusudiwa
Amesema hayo Bungeni wakati akimjibu Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe, aliyehoji msimamo wa Serikali kuhusu viwanda vilivyobinafsishwa ambavyo havifanyi kazi zilizokusudiwa