Kassim Majaliwa: Tanzania inajiandaa kurusha Setelaiti

Muongo muongo huyu......
 
Comments nyingi ni kama tunajidharau tusipoanzia hapo lini tutafika kama Taifa?
Tuwe wazalendo kupenda wanasayansi wetu na kuwatia moyo japo najua wengi wanadharau kwa kuwa wanaona namna Elimu yetu inavyobadilishwa kila wakati mitaala na wanasiasa
 
Huyu mzee ataacha lini kutuchora?🤣🤣
 
Madawati na vyoo mashuleni bado ni ugonjwa uliokosa tiba tangu uhuru hadi leo bado kuna watu wanachangia maji ya vidimbwi na wanyama alafu anazungumzia kurusha satellite 🤔🤔 hao ndio ccm sasa 😅😅😅😅
 
Wapumbavu watapongeza ....kwanini mmeshindwa kushusha bei ya umeme kwa kumfurahisha fisadi rostam azizi kii
 
Tumewekeza mno kwenye siasa na ukijani badala ya innovations
Skylink inapigwa vita wakati ingetumika kama gear katika kuchochea maendeleo ya kidijitali
 
Hata kutoa license kwa star link ili nchi yote ipate cheap high speed internet wameshindwa, not very serious people 👎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…