eRRy JF-Expert Member Joined Jun 12, 2009 Posts 1,126 Reaction score 206 Dec 6, 2009 #1 Jamaa mmoja alinunua KASUKU,,, Lakini alikua anamkera sana kwa kua alikua anatukana sana matusi makubwa. Akaamua amrudishe kwa mwenye duka alipomnunulia ili am'badilishie ampe kasuku mwengine mstaarabu. Mwenye duka akamwambia. Ok nitakubadilishia, tena huyu hapa wa sasa ni mstaarabu sana, na cha nyongeza. Akinyanyua mguu wa kulia anazungumza Kizungu, Akinyanyua mguu wa kushoto anazungumza Kiarabu. Jamaa akauliza! Je akinyanyua miguu yote miwili?? KASUKU akarukia... (Sasa we Khanithi nini!! .. SI NITAANGUKA)
Jamaa mmoja alinunua KASUKU,,, Lakini alikua anamkera sana kwa kua alikua anatukana sana matusi makubwa. Akaamua amrudishe kwa mwenye duka alipomnunulia ili am'badilishie ampe kasuku mwengine mstaarabu. Mwenye duka akamwambia. Ok nitakubadilishia, tena huyu hapa wa sasa ni mstaarabu sana, na cha nyongeza. Akinyanyua mguu wa kulia anazungumza Kizungu, Akinyanyua mguu wa kushoto anazungumza Kiarabu. Jamaa akauliza! Je akinyanyua miguu yote miwili?? KASUKU akarukia... (Sasa we Khanithi nini!! .. SI NITAANGUKA)
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Dec 6, 2009 #2 Huh!...Kumbe hakuna kasuku mstaarabu eeh? Nice for a cool sunday like this!