Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasulu mjini mwalimu machali wa NCCR kashinda.....CCM wanalo....
yeah man....na kuna wakati wana kasulu vijijini walimkimbiza na mawe nsanzu wakimtuhumu kuwafanya wawe na maisha magumu kwa miaka 5 aliokuwepo madarakani......Na Kasulu Vijijini Nsanzugwanko wa CCM alikuwa anakimbizwa mbaya na mama mmoja wa NCCR Mageuzi. Najua mnataka data - zikipatikana tutaweka hapa!