Elections 2010 Kata 23 zilichagua madiwani jana 28/11/2010

Elections 2010 Kata 23 zilichagua madiwani jana 28/11/2010

AmaniKatoshi

Senior Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
158
Reaction score
14
Wajameni, habarini za leo tena?

Ninakumbuka kuwa jana Kata 23 ambazo hazikufanya uchaguzi wa madiwani wake tarehe 31/10 zilipaswa kuwachagua wawakilishi hao jana. Je, kuna mwenye updates za matokeo? Au yanasubiriwa kutangwaza na NEC TAIFA-DSM?
 
Kutoka Mbulu nimesikia Kata ya Endagikot imechukuliwa na CCM
 
Chadema will win the majority!!

viva True democratics

regards
 
Back
Top Bottom