Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap, si amesema hapo kuwa kikikatwa kin afyonza bacteria kwa hiyo ukikitumia kwa mapishi ni hatari sababu kitakuwa na bacteria wengi ndani yake ambao aliwafyonza.Si inasemekana kitunguu kikilala kikiwa kimekatwa ni hatari kwa afya kutumiwa tena?
[emoji23][emoji23]sahv vimepanda bei vikishuka tutanunua tueke chumbn
Kitunguu hiki ni cha dawa sio kitunguu maji cha kuliwa utakavyo kikata na kukimenya na kukiweka ndani ya chumba hakifai tena kuliwa unakiweka ndani ya chumba unacho lala ili kipate kuuwa Bacteria waliopo chumbani mwako unapo lala. unaweza kukiweka siku 7 kisha unakitupa.Si inasemekana kitunguu kikilala kikiwa kimekatwa ni hatari kwa afya kutumiwa tena?
Kata Chungwa nusu, chomeka vikarafuu kwa wingi.Asante kwa maelezo mazuri, Tupe dawa ya mbu kuwaondoa vyumban ya asili
Ngoja nikaijaribu hii.Kata Chungwa nusu, chomeka vikarafuu kwa wingi.
Hutoona mbu.
Hutumia kwa usiku mmoja tu.
usafiVipi dawa ya kupambana na kunguni jaman
ww upo off campus nn tena vyou vya Dodoma ndo wana kungumi nyingiVipi dawa ya kupambana na kunguni jaman
Ha ha haaaaww upo off campus nn tena vyou vya Dodoma ndo wana kungumi nyingi