Kata kitunguu maji na uweke ndani ya chumba chako

Si inasemekana kitunguu kikilala kikiwa kimekatwa ni hatari kwa afya kutumiwa tena?
 
Si inasemekana kitunguu kikilala kikiwa kimekatwa ni hatari kwa afya kutumiwa tena?
Kitunguu hiki ni cha dawa sio kitunguu maji cha kuliwa utakavyo kikata na kukimenya na kukiweka ndani ya chumba hakifai tena kuliwa unakiweka ndani ya chumba unacho lala ili kipate kuuwa Bacteria waliopo chumbani mwako unapo lala. unaweza kukiweka siku 7 kisha unakitupa.
 
Niliwahi pata mafua makali jamaa angu mu Indonesia aliniambia nifanye hivi sikumuelewa kabisa asante dr mzizi kwa kutupa somo
 
Nimeipenda nitajaribu sikyu moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…