Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Mar 19, 2010 #1 <!--ThumbEnd--> Hali ya joto jijini Dar, imekuwa neema kwa wafanyabiashara ya madafu kwa ajili ya kukata kiu na kuongeza virutubisho kadhaa mwilini. Pichani, muuza madafu akiwahudumia wateja wake maeneo ya Posta Mpya jijini leo mchana.
<!--ThumbEnd--> Hali ya joto jijini Dar, imekuwa neema kwa wafanyabiashara ya madafu kwa ajili ya kukata kiu na kuongeza virutubisho kadhaa mwilini. Pichani, muuza madafu akiwahudumia wateja wake maeneo ya Posta Mpya jijini leo mchana.