Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Stigler's na Umeme wa Gesi Kinyerezi umekata?Wiki nzima shirika la umeme limeendelea na hujuma za kukata umeme bila taarifa na kuathiri maelfu ya wakazi hasa Dar Wilaya Ilala Kata Kivule na Mitaa yake umeme kwa siku unakatika zaidi ya mara 20 na unawaka.
Dakika 2 unakwata saa zima mpaka mda Mitaa ya Kivule ipo gizani na hakuna taarifa yoyote zaidi ya taarifa za kichawa..nyuma ya pazia Tanesco watendaji wamebwetweka wananuka uvundo..Bora kipindi Cha Magu tulishasahau hizi hujuma
Wahamie huku Nyamagubwe kwetu๐
Hamna taarifa yoyote wanafanya wanavyojisikiaStigler's na Umeme wa Gesi Kinyerezi umekata?
Hamna taarifa yoyote wanafanya wanavyojisikia
Chawa kila siku wanapongeza ujinga ambao ki uhalisia hakuna.. Wanafanya mpaka watendaji wa Tanesco wabweteke hakuna wa kuwafatilia man to man kama kipindi Cha Magufuli la Wangewajibishwa sasa ivi Wanakula urojo tu hawana habari na kero zozote za wananchiKwa umeme Upi? kama huu wa bwawa la Nyerere unakifafa, wa Ethiopia utakua umechoka sana maana sio kwa jogging ๐๐ฟโโ๏ธ ile