Kata Simu, Kata Simu, Tupo Site, I don't like disturbance of the head, do you understand?
Mzee wa mjegeje ndo mwenye msemo wake alkua anahojiwa na big chawaHuu msemo origin yake ni nini na wapi? Nimekuwa nikiusikia mara kwa mara na una sound funny, nimetamani kujua ni sauti ya nani na umeanzia wapi!
Wakatabahu!