DOKEZO Kata ya Kabondo (Simiyu) tulichanga Tsh. 30m Ujenzi wa Sekondari, Akaunti ya Benki imebaki na Tsh Laki 5 na ujenzi ni 0%

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Vipi mlipewa risiti Kwa Kila hela mtu aliyochangia?

Hilo ni jambo Dogo, mngeenda kuripoti Kwa Mkuu wenu wa Wilaya then aagize TAKUKURU kufatilia.

Baada ya Mwezi mmoja tu hao watuhumiwa wote wangepelekwa mahakamani
Sio tu rist mimi siwezi lipa kodi na oia nichangua maendeleo kwa cash, huu ujinga ufanywe na wajinga tu
 
Baada ya kupitisha mchango huo, tuliunda kamati ya ujenzi wa shule hiyo ambayo ilikuwa chini ya Mwenyekiti wake Diwani wa Kata yetu na Mtendaji wa Kata.
Diwani na mtendaji ni wa chama gani?
Mbunge wenu ni wa chama gani?
Wazee wa intelegensia huko kwenu wapo?
 
Diwani ccm na mtendaji ni kada wa ccm. Unategemea nini ukikabidhi mafisi bucha?
 
Sio tu rist mimi siwezi lipa kodi na oia nichangua maendeleo kwa cash, huu ujinga ufanywe na wajinga tu
Siku hizi malipo mengi ya Serikali yanafanywa kupitia control number

Kwahiyo hata hizo habari za kutumia vijitabu vyao vya risiti sitaki kuzisikia kabisa
 
Pongezi Pongezi nyingi ziwaendee CCM na mwenyekiti wa CCM kwa mafanikio hayo.
Mama anaupiga mwiingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
 

Attachments

  • images (13) (1)~2.jpeg
    16.3 KB · Views: 2
Changamoto hiyo ni Watoto wetu kutembea kila siku kilometa takribani 20, kwenda Shule Sekondari Mwamishali, iliyopo kata jirani ya Mwamishali.
Wacha uongo mkuu! Mtoto atoke Kabondo mpaka Mwamishali kufuata shule ya Sekondari? Kwa nini asiishie Ng'hoboko au kwa nini asiende Imalaseko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…