Uchaguzi 2020 Kata ya Mbigiri Wilayani Kilosa itachukuliwa na Upinzani Oktoba

Uchaguzi 2020 Kata ya Mbigiri Wilayani Kilosa itachukuliwa na Upinzani Oktoba

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2020
Posts
2,946
Reaction score
2,932
Miaka mitanobiliyopita alikuwepo diwani anaitwa watende wa viti maalum CCM.

Huyu diwani aliwatesa sana wananchi na wakulima wa maeneo hayo kwakusababisha mashamba yao kuporwa na wamasai na wafanya biashara wa dumila.

Diwani huyu ana kashfa nyingi sana zinazohusu rushwa na uporaji mashamba. Alishasema yupo tayari kuhonga mwili wake ili madhara ya kashfa zake yasimpate. Na aliishi kwa kufanya ivo

Wananchi wa Mbigiri wanafahamu hilo, lakini kwakuwa hawana maamuzi, CCM kata wamempitisha kwenye kura ya maoni kwa rushwa

Amepata msaada wa pesa za kuhonga wajumbe toka kwa wafungaji wa kimasai, hawa kitumaini kutetewa almashauri kwa kufutwa kijiji chao

Jopo hilo la wafugaji linaongozwa na ndugu Lenyeka. Wafanyabiashara na viongozi waserikali wanaongozwa na mfanyabiashara.

1. Shaban au Kelvin Mnyingi wa Dumila(mbabe wa wakulima na serikali)
2. Afisa tarafa yeye ( ndiye mratibu wa kupora ardhi ya wakulima na kuwagawi wakubwa)
CCM, liangalieni hii kwa umakini
 
Kwani mpinzani anatoka burundi ? si wa hapohapo ? aliyekuwepo wa ccm aliwapa nini?
 
kuchafuna kisiasa ni mhimu ila kutaja watumishi wa umma nalo ni jambo lingne

Ulipaswa kutafuta namna ya kutaja ila sio majina ya watu moja kwa moja
 
mbigiri mabana mateteni hiyo da hatari sana
Sana,
Zamani niliamini kuwa viongozi wanaoletwa wilayani ndiyo wanaowatesa wakulima wa wilaya hiyo.

Kumbe hata viongozi wazawa ni washenzi kwa pesa.
Wafugaji wanawanunua kwa pesa ndogo sana na kuuza haki za wanyonge.

Huyu diwani viti maalum hafai kabisa, angekuwa mboga basi afadhari ya nguruka kwa kachumbari
 
Sana,
Zamani niliamini kuwa viongozi wanaoletwa wilayani ndiyo wanaowatesa wakulima wa wilaya hiyo.

Kumbe hata viongozi wazawa ni washenzi kwa pesa.
Wafugaji wanawanunua kwa pesa ndogo sana na kuuza haki za wanyonge.

Huyu diwani viti maalum hafai kabisa, angekuwa mboga basi afadhari ya nguruka kwa kachumbari
Acha kumchafua mtia nia Diwani wa viti maalum anawezaje ku influence maamuzi ya kata au kijiji ambako kunakuwa na viongozi?
 
Acha kumchafua mtia nia Diwani wa viti maalum anawezaje ku influence maamuzi ya kata au kijiji ambako kunakuwa na viongozi?
Kilosa na Mvomero ni kweli kuna matatizo makubwa mkuu.Yaani ni kama Wamasai ndio wanaosimika viongozi ili interests zao zilindwe:kuchunga mifugo yao mahali wanapotaka,hata ikibidi kwenye mashamba ya wakulima.Kama kuna jambo ambalo wateule wa Magufuli wameshindwa,na kiukweli niseme hata Magufuli mwenyewe, ni kitendawili cha tatizo la wafugaji na wakulima,it is a complete wash out.Mimi pamoja na mapenzi yangu yote kwa Magufuli,hapa mm,ameshindwa,tena kabisa.
 
DAKAWA OYEEE
Dakawa oyee....!Dakawa ndio kumeoza usiseme.Yaani watu wanaleta undugu kwenye mambo ya msingi,badala ya watu kuwachagua viongozi watakao wasaidia kwenye maendeleo, wanatanguliza undugu,it is very disgusting.Yaani elimu ni jambo la msingi sana.Tatizo ni kwamba Wilaya ya Mvomero watu wengi elimu ni kiduchu sana.Undugu mpaka wanachagua an Ex-Std III kuwa diwani,nadhani na wewe ndio hao hao.Hivi diwani Ex-Std III atakusaidia nini.Sasa mbona kama kuna mradi umeletwa hawezi hata kujua umechakachuliwa au laa.Kwanza yeye mwenyewe mchakachuaji.Na mbona hata hawezi kuchambua matatizo ya wananchi wake hata akampelekea Mkurugenzi,kwanza anajiuliza,ili iweje,alivyo na wivu.Yaani jamaa akishachaguliwa kakaa chini,it is over.Yaani dah Dakawa, sina hamu kabisa.Wamasai nao wanaonea wakulima,viongozi wako kimya.Magufuli ana kazi kweli kweli,very disturbing.
 
Back
Top Bottom