KERO Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana

KERO Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Huku Bariadi kata ya Muamatondo hasa kijiji cha Mwasinasi umeme umekuwa kero toka wakati wa mgao hadi kuwashwa kwa mitambo ya Bwawa la mwl Nyerere. Yaani kwa siku wanakata hata zaidi ya mara saba, kibaya zaidi hatuambiwi shida nini.

Toka jana Jumamosi asubuhi mpaka leo saa tisa na robo Jumapili muda huu bado hatuna umeme na hakuna taarifa yoyote toka Tanesco.

Tunajiuliza sisi hatuna haki ya kupata taarifa!

JamiiForums tusaidie kupaza sauti.

Pia soma ~ TANESCO- Simiyu yatuma team kufuatilia changamoto ya umeme Kata ya Muamatondo - Bariadi
 
Poleni sana, naamini serikali sikivu chini ya jemedari mama yetu mpendwa Daktari Samia Suluhu Hassan itasimimamia na kutatua changamoto hiyo.
 
Back
Top Bottom