Kataa kitambi, unene kupindukia sio afya

Mkuu, tunakula tunachokipata sio tunachokitaka.

Unatamani ule kuku mzima na matunda, ila mfuko unakuelekeza kwa mama ntilie, ugali mwingi wa buku jero.

Tusameheni kwa kuto kutii maagizo yenu.
mfuko unazungumza sio kwamba hatupendi kwenda supa maketi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nimesoma uzi mreefu ila sijaona point ya maana mara msile sana mara mle sana, mara si mnaniona mimi nina six pack, sasa tunakuonea wapi na hujaweka picha
 
Hali siyo nzuri mitaani, yaani sababu ya mtu kufanya kazi ofisini tu tayari kitambi kinakuja...maofisini mnapishana kwenye korido kama wajawazito vile, hatujui tunakula Nini hili ni tatizo.
 
Rate ya unene kupitiliza kati ya mataifa yaliyoendelea hasa USA na Africa ipoje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ