Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Team Kataa Ndoa Mpo?
Sidhani kama kuna haja ya kusalimiana. Kama kuna mtu ana lolote anaweza akasema linalomsibu kwenye nafasi niliyoiacha hapo juu.
Najua humu jukwaani kuna movement ya Kataa Ndoa. Itoshe kusema kuwa kutokana na research iliyofanywa nimefahamu kuwa watu wengi ambao ni team Kataa Ndoa wana stress na msongo mkubwa wa mawazo.
Huko nje wanajinasibu kuwa na furaha lakini in real sense kulingana na hii research wako on the brink ya kuwa vichaa.
Mtanisaidia kumtag dronedrake aone hii na aachane na hii kampeni mara moja.
Nawasilisha