Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Yaan ndoa inakufanya unakuwa mfungwa afu tena mtumwaIla ukitazama kwa umakini unaona jamaa yupo sahihi. Kwa sasa ndoa ni gereza kama sio kaburi la mwanaume.
Asioe mwanamke ila aoe mwanaume! Hapo sawa !Mwarabu Hemedyphd anasema ndoa sio kitu anachokiamini katika maisha yake na yupo tayari kuishi miaka 100 na mwanamke lakini asimuoe/wasioane.
Akipiga story na #PlanetBongo ya @eastafricaradio amefunguka 👇
"Katika maisha yangu kuna vitu vitatu vikubwa ambavyo sio ndoto yangu, cha tatu ni hiyo kuoa. Siamini ndoa, sifagilii na sifurahii, ukinifuata kama mshkaji unataka kuoa sikushauri"
"Nipo tayari kuishi na mwanamke hata miaka 100 lakini kipengele cha ndoa kisiwepo"
View attachment 3405880
Mwanaume kutokukuoa wewe haimaanishi kwamba mbadala wa maamuzi yake ni kuoa mwanaume mwenzake, nyie wanawake wa kisasa mna reasoning mbovu sana... yaan mtu akifanya maamuzi yasiokupendeza wewe unaanza kufanya assumptions za ajabu ajabu tu hili kufiti mitazamo yako.Kwahiyo Bora aoe mwaname sio??🥲
Awaache waoane,
Ona mbuzi nyingine hii..!?Asioe mwanamke ila aoe mwanaume! Hapo sawa !
Aoe aoleweAsioe mwanamke ila aoe mwanaume! Hapo sawa !