Kataa Ndoa, huyu hapa ndugu yenu

Watetezi wa ndoa wana hoja za kipumbavu sana. Fikra zao zimeishia kwenye ushoga, yaani ukipingana na ndoa Moja kwa Moja wanakuja na attacking za mapenzi ya jinsia Moja wakati ni mambo ambayo hayana uhusiano wa Moja kwa Moja.

Hii tabia wangekua nayo wanawake tu kidogo ningeelewa kwa sababu wao wanaweza kuitumia ndoa kama mradi wa kibiashara. Obvious mtu anaevuluga masilahi yako lazima utakua mkali tu. Kinachonisikitisha kasumba hii imewakumbuka mpaka wanaume.

Hauhitajiki kuwa na akili nyingi sana kuona kwamba kwenye Dunia ya sasa ndoa haina maana tena kwa mwanaume.
 
haya waombaji ushauri waende
 
"Hauhitajiki kuwa na akili nyingi sana kuona kwamba kwenye Dunia ya sasa ndoa haina maana tena"

Hiyo iko wazi kwa mwanaume yeyote ambaye anatumia zaidi akili kuliko hisia.

Wanaume wenye akili wengi hasa wenye mafanikio suala la kuoa hawataki hata kuliskia sababu wanajua jinsi legal system inavyoweza kuwarudisha nyuma kimaendeleo ndani ya muda mfupi mwanamke akiamua kuitumia vibaya.

Na hata wazee wengi wa zamani wenye akili ukikaa nao wanasema kabisa kwamba kwa jinsi sheria za ndoa za sasa zilivyo hata wao wasingeoa.

Tatizo siku hizi wanaume wengi wanooa ni viazi mno ambao hawana uwezo wa kufikiri kiasi cha kuona risks zilizomo kwenye hiyo taasisi na jinsi wanawake walivyoigeuza mradi wa kujipatia utajiei kirahisi wakisaidiwa na sheria za mbovu.

Na wanaume hao(modern married men) kutokana na wao kukosa matumizi ya akili na kujikuta wanatumia hisia kwenye kila jambo ndio tunaona wanasema mbadala wa mwanaume kutokuoa basi ni yeye kujihusisha na ushoga, yaan hawaoni kwamba kile anachokipata yeye ndoani kwa huyo mke wake hata wewe ambaye haujaoa una uwezo wa kukipata tena maradufu kuliko yeye.

Ninawaelewa wanawake wanavyofanya age shaming kwa wanaume wasiotaka kuoa sababu ndoa ni baishara yao rahisi ya kujipatia mali, ila kwa wanaume wanaobeza wanaume wenzao wasiotaka kuoa nawaona ni wajinga wa mwisho ambao bado hawajajua reality ya taasisi ya ndoa ilivyo kwa sasa, ila sema ipo siku watatuelewa tu.
 
uSiombe upange sehem ambako kuna wapangaj wengi wenye familia afu uwe hujaoa,aisee utasemwa mpaka basi
 
Sizani kama jamaa anadindisha huyu
 
Huyu ni PONJORO
 
Kwani yeye ni nani mpaka tushike anachoamini? Kataa ndoa endeleeni na maisha yenu, wanaooa wabarikiwe Sana acheni waendelee na maisha Yao, mbona watu wanafilisika na kufukuzwa makazini hamsemi Kataa biashara au kataa Kazi? Kila kitu kina changamoto zake na si kuzikimbia.
 
Yuko sahihi kabisa, Naunga mkono hoja.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
kausha broo, achana nao waendelee na Zinaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…