Katika kizazi tulichopo ndoa ni concept ambayo tayari imeshapitwa na wakati. Muundo wa ndoa ulisukwa kwenda sambamba na mfumo dume, katika zama hizi za usawa wa kijinsia lazima taasisi ya ndoa itaanguka tu kwa sababu misingi yake haikuwekwa kwenda sambamba na haya mambo ya 50/50 na feminism.
Tuangalie masuala kadhaa yanayohusu ndoa ambayo yalikua na uhalali nyakati za mfumo dume lakini kwa sasa hayana uhalali tena.
1. Kugawana mali baada ya kutalakiana.
Katika zama za mfumo dume mwanamke hakujumuishwa kwenye masuala yote ya kiuchumi kuanzia kirithi mali, kumiliki mali, elimu n.k katika hali kama iyo ni haki kwa mwanamke uyo kupata mgao wa mali ndoa ikivunjika. Kwenye jamii ya sasa mwanamke kapewa uhuru na access zote za kujitafutia hela na mali kwaiyo hakuna sababu inayomlazimu awe tegemezi na kupata mgao kutoka kwenye mali za mwanaume.
2. Mmong'onyoko wa maadili ambao umefanywa kuwa ustaarabu wa maisha ya kisasa.
Wanawake wanatembea nusu uchi, wanapost picha chafu mtandaoni. Mambo ambayo mwanaume ulitakiwa kuyapata ndoani unayapata ukiwa bachelor. Maeneo ya mwili wa mwanamke ambayo ulitakiwa kuyaona chumbani unayaona mtaani na mtandaoni. Zamani uchi wa mwanamke ulikua priceless sasa hivi uchi wa mwanamke una price tag. if i can get free milk why keeping a cow?
3. Hakuna namna ya kumwajibisha mwanamke.
Nyakati za mfumo dume kulikua na standard rigid za kumwajibisha mwanamke. Mwanamke kukosa bikira ilikua aibu kubwa sana kwenye familia matokeo yake mabinti walijitunza mpaka ndoa. Sasa hivi tupo kwenye kizazi ambacho mabinti na wanawake wamepewa uhuru wa kufanya ngono kiholela bila kuwa accountable.
Na wote waliopo kwenye ndoa za baada ya mwaka 2000 wote ndoa zipo zinashikiliwa na malezi ya watoto ila wenza hawana upendo baina yao.
Ndoa za kileo ndio kati ya sababu kubwa ya vifo vya mauaji wake kwa waume.Hii inaonyesha kwa jinsi gani ndoa zimegeuka uwanja wa mapambano usikuwa na refa.
Ndoa ni kichaka cha maovu ya uzinzi na magonjwa ya zinaa kwa watu wengi wa sasa.
Kwa ujumla lengo mama la kuwepo taasisi ya ndoa limeacha,na kwa sasa ndoa imebaki kama fashion ambayo wengi hawaelewi misingi na malengo yake mwishowe wanabaki na maumivu makubwa ya kihisia.
📌📌📌Kataa ndoa ulinde uchumi wako,afya yako ya akili na uhuru wako!!!!
Shukurani za dhati ziende kwake comrade Natafuta Ajira
Uzi tayari!!!