Kataa utekaji Tanganyika imepamba moto.

Wakija kukuchukua watu hawaeleweki wewe washirikishe maraia tuu utapata msaada πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ Dodoma wameweza bhana.
WAZANZIBAR WAS*NGE SANA ....
 
Waliopiga bendi siku ya kumzika Mkapa aisee walikuwa wanajeshi haswa
 
Wananchi wameshajua michezo michafu
 
Wewe unapotosha Habari na inawezekana imesimuliwa juu juu

Hapo panahusishwa askari wa TFS na raia na hapo unaposema wamefika kituoni na kuchoma ndo unachanganya kabisaaa, hapo raia walienda kwenye kambi za askari wa TFS maporini huko na kuchoma gari na silaha

Emu jueni kutofautisha hawa askari wa hizi taasisi, majeshi ni mengi mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…