Leo wife si kaniamsha kibabe.
Eti "wee kunguru ebu amka huko unapenda kulala lala kama mwanamke ebu nenda katafute"?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] .
Basi mimi nikaenda zangu kutafuta nimerudi si akaja kunipokea rambo ile anafungua tu si akakuta mizoga.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]