Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Faki zati sonofabitch!Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi.
Aidha, amesema kuna utumiaji wa Akili Unde kutengeneza video, sauti na picha zenye lengo la uchochezi na kwamba wananchi wanatakiwa kuwa makini wasisambaze, huku serikali ikiwasaka wanaoziunda kwa kuwa wana lengo la kuivuruga nchi.
"Nawataka wananchi tuandike taarifa za maoni na majina ya watu wanaoandika na kusambaza taarifa za uchochezi kwenye mitandao ya kijamii, ili tuchukue hatua kwa kuwa kuna watu wamezamia nchi nyingine wanafanyakazi ya uchochezi, "amesema Katambi ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini.
Aidha, amesema lazima Watanzania watambue kuwa kuna haki na wajibu, ila wengi wanazungunzia haki bila kuzungumzia wajibu wao kwenye nchi.
Aidha, aliwaomba wananchi kuwa wataulivu wakati serikali inachukua hatua dhidi ya watu wanaoleta uchochezi kwa lengo la kuchafua nchi, na kwamba nchi inaendeshwa kwa kuzingatia utawala wa sheria.
"Ushahid wa kwamba taifa liko salama ni miradi ya maendeleo inayotekelezwa, na tutahakikisha tunaendelea kuwa salama, "amesema.
Waziri Katambj ameyasema hayo leo Jijini Mwanza wakati wa Uzinduzi wa Meli ya MV Mwanza, uliofanywa na Waziri Mkuu, Dk. Lameck Nchemba.
vipi kuhusu habari za kudhalilisha watu, kwanini sheria ibague kuwalinda viongozi wa serikali ya chama dola kongwe tu.mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi.
Natumaini anapozungumzia viongozi anamaanisha hata wale wa vyama vya upinzani. Na wana harakati.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi.
Aidha, amesema kuna utumiaji wa Akili Unde kutengeneza video, sauti na picha zenye lengo la uchochezi na kwamba wananchi wanatakiwa kuwa makini wasisambaze, huku serikali ikiwasaka wanaoziunda kwa kuwa wana lengo la kuivuruga nchi.
"Nawataka wananchi tuandike taarifa za maoni na majina ya watu wanaoandika na kusambaza taarifa za uchochezi kwenye mitandao ya kijamii, ili tuchukue hatua kwa kuwa kuna watu wamezamia nchi nyingine wanafanyakazi ya uchochezi, "amesema Katambi ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini.
Aidha, amesema lazima Watanzania watambue kuwa kuna haki na wajibu, ila wengi wanazungunzia haki bila kuzungumzia wajibu wao kwenye nchi.
Aidha, aliwaomba wananchi kuwa wataulivu wakati serikali inachukua hatua dhidi ya watu wanaoleta uchochezi kwa lengo la kuchafua nchi, na kwamba nchi inaendeshwa kwa kuzingatia utawala wa sheria.
"Ushahid wa kwamba taifa liko salama ni miradi ya maendeleo inayotekelezwa, na tutahakikisha tunaendelea kuwa salama, "amesema.
Waziri Katambj ameyasema hayo leo Jijini Mwanza wakati wa Uzinduzi wa Meli ya MV Mwanza, uliofanywa na Waziri Mkuu, Dk. Lameck Nchemba.
Daah mkuu wapotezee watu wakishiba sana hawajui waseme nini mbele ya jamii inayowazunguka ila wanakera sana..Fala mwingine huyu,aanze na Mimi,Niko Liwale ni mwalimu,afike kwa mkurugenzi aulize mwalimu James tweve anafundisha shule gani,atanipata.
Mavuzi yake huyu waziri
Yeye ndiye anayechochea uchochezi. Hivi wale magundi VIYOYOZI NA NAJOKOVU waliomkamata Lissu wako likizo!?Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi.
Aidha, amesema kuna utumiaji wa Akili Unde kutengeneza video, sauti na picha zenye lengo la uchochezi na kwamba wananchi wanatakiwa kuwa makini wasisambaze, huku serikali ikiwasaka wanaoziunda kwa kuwa wana lengo la kuivuruga nchi.
"Nawataka wananchi tuandike taarifa za maoni na majina ya watu wanaoandika na kusambaza taarifa za uchochezi kwenye mitandao ya kijamii, ili tuchukue hatua kwa kuwa kuna watu wamezamia nchi nyingine wanafanyakazi ya uchochezi, "amesema Katambi ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini.
Aidha, amesema lazima Watanzania watambue kuwa kuna haki na wajibu, ila wengi wanazungunzia haki bila kuzungumzia wajibu wao kwenye nchi.
Aidha, aliwaomba wananchi kuwa wataulivu wakati serikali inachukua hatua dhidi ya watu wanaoleta uchochezi kwa lengo la kuchafua nchi, na kwamba nchi inaendeshwa kwa kuzingatia utawala wa sheria.
"Ushahid wa kwamba taifa liko salama ni miradi ya maendeleo inayotekelezwa, na tutahakikisha tunaendelea kuwa salama, "amesema.
Waziri Katambj ameyasema hayo leo Jijini Mwanza wakati wa Uzinduzi wa Meli ya MV Mwanza, uliofanywa na Waziri Mkuu, Dk. Lameck Nchemba.
Huyu ataikana sauti yake mwenyewe tupo hapaAnajisahau
Umetisha sana bwasheeFala mwingine huyu,aanze na Mimi,Niko Liwale ni mwalimu,afike kwa mkurugenzi aulize mwalimu James tweve anafundisha shule gani,atanipata.
Mavuzi yake huyu waziri
Polisi wanafanya doria mtandaoni wapo likizo au wamebadilishiwa majukumu?Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi.
Aidha, amesema kuna utumiaji wa Akili Unde kutengeneza video, sauti na picha zenye lengo la uchochezi na kwamba wananchi wanatakiwa kuwa makini wasisambaze, huku serikali ikiwasaka wanaoziunda kwa kuwa wana lengo la kuivuruga nchi.
"Nawataka wananchi tuandike taarifa za maoni na majina ya watu wanaoandika na kusambaza taarifa za uchochezi kwenye mitandao ya kijamii, ili tuchukue hatua kwa kuwa kuna watu wamezamia nchi nyingine wanafanyakazi ya uchochezi, "amesema Katambi ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini.
Aidha, amesema lazima Watanzania watambue kuwa kuna haki na wajibu, ila wengi wanazungunzia haki bila kuzungumzia wajibu wao kwenye nchi.
Aidha, aliwaomba wananchi kuwa wataulivu wakati serikali inachukua hatua dhidi ya watu wanaoleta uchochezi kwa lengo la kuchafua nchi, na kwamba nchi inaendeshwa kwa kuzingatia utawala wa sheria.
"Ushahid wa kwamba taifa liko salama ni miradi ya maendeleo inayotekelezwa, na tutahakikisha tunaendelea kuwa salama, "amesema.
Waziri Katambj ameyasema hayo leo Jijini Mwanza wakati wa Uzinduzi wa Meli ya MV Mwanza, uliofanywa na Waziri Mkuu, Dk. Lameck Nchemba.
Hawa ndio Magufuli aliwabatiza na kuwaita " WALIOKATWA MIKIA"! Yote hiyo sababu ya njaa. Hasa machawa wa Samia hata hawajui maana ya "UCHOCHEZI" ! Kwao mtu yeyote atakayeonesha mapungufu ya ccm na serikali yake ni mchochezi. Sasa wananchi hawana haki ya kusema yale ambayo hii serikali imeshindwa kuyatekeleza kwasababu ya matumizi mabaya ya kodi zao? Kuikosoa serikali sio uchochezi, na hili inabidi askari polisi wafundishwe kwani wanakamata na kuwatesa wananchi hovyo kwa kisingizio cha uchochezi!!Anajisahau