By allowing their personal interests to enslave them, the mazafakas have lost their internal sense of right and wrong. They have incurred a total moral compass breakdown!Tuna wanasiasa wengi sana wapo kwa maskahi ya matumbo yao tu lakini wana support siasa ambazo moyoni wenyewe wanazipinga. Moja yao ni Prof Mkumbo na Katambi. Wote walikuwa wameongea sana huko nyuma kuhusu umuhimu wa kufuata sheria na demokrasia sasa eti wamebadilika! Njaa mbaya sana. Mkumbo ambaye ni usalama wa taifa amekuwa mnafiki mkubwa na chawa wakati tunajua fika akubaliani na mambo ndani ya CCM. Ni kama Msingwa sema yeye amefanikiwa ku fake zaidi. Hawa ndiyo mayuda kweli kweli. Eti waziri anaogopa Chadema kiasi cha kuzuia mikutano ambayo ipo kisheria. Sasa kama huyu Mama raisi fake kafikia huko je tuna Raisi kweli hapo🤦🏾♂️
TUMBONI STREET, kwa TUMBO TandaleKitila fundi sana wa kujenga hoja sema basi tu.
Huyu jamaa alikuwa ACT wazalendo, wakati huo akiwa lecturer nadhani, DUCE.
Baadaye Magufuli akamteua kuwa katibu mkuu. Wizara ya maji akiwa mpinzani hivyohivyo....
Aliwateua wapinzani wawili kutoka ACT,
Ambao ni Yeye na marehemu Anne Elisha Mughwira..
Nashangaa wote wakajigeuza kuwa CCM.
Mbona mbatia aliteuliwa na JK kuwa mbunge akitokea NCCR na hakuhama?
Au ccm/serkali ndio imeshindwa kushindana na chadema ndio ulimanishaTukiwaambia kuwa hamna uwezo wa kushindana na serikali na Viongozi walioapa kuilinda amani ya Tanzania hamtuelewi.
Kwanin huwa mnaakili za kujifariji kwa vitu ambavyo HAVIPO?
Tumia ubongo wako vzuriAu ccm/serkali ndio imeshindwa kushindana na chadema ndio ulimanisha
Nenda darasani ukaendelee kufundisha ujinga, Mwalimu wa hovyoTukiwaambia kuwa hamna uwezo wa kushindana na serikali na Viongozi walioapa kuilinda amani ya Tanzania hamtuelewi.
Kwanin huwa mnaakili za kujifariji kwa vitu ambavyo HAVIPO?
Ila nyie jamaa bwana kwahyo mikutano ya chadema bado inaendelea 🤣🤣Nenda darasani ukaendelee kufundisha ujinga, Mwalimu wa hovyo