HAKUNA SERIKALI DUNIANI ISIYOTEKA.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alipokuwa akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV, Juni 8, 2026 amesema Serikali haihusiki na utekaji wala watu kupotea bali inawabika kusimamia haki za msingi za wananchi kwa mujibu wa Katiba
"Sasa nisisitize maeneo haya, kumekuwa na muda mrefu upotoshaji wa muda mrefu unaosemwa kwa kuonekana, ukisema mara nyingi bila kukanushwa au kupewa majawabu, matokeo yake unaonekana kuwa ni ukweli, hata kama ni uongo.
Sasa lazima tujue kwamba serikali haiteki, serikali haipotezi mtu, serikali inao wajibu wa msingi wa kisheria wa kufuata taratibu na haki za binadamu. Utawala wa sheria tunasimamia, na ndio maana tuna utawala bora pia, ndio msingi ule uliojikita katika kuhakikisha kuna utawala wa sheria. Tuna Bunge, kuheshimu uwepo wa Bunge, lakini pia uheshimaji wa uwepo wa mahakama, lakini pia uwepo wa serikali kwa maana ya Executive.
Sasa katika utaratibu uliopo wa kisheria, wa kikatiba, kama nilivyoeleza ibara ya 8, kwa madaraka ambayo serikali iliyoingia madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi, inakuwa na wajibu wa kusimamia sasa haki za jumla kwa msingi wa kikatiba. Haki za kisiasa na taratibu za kisiasa na sheria zilizotungwa, sera, taratibu na kanuni, lakini pia haki za kiuchumi zilizo-expressed kwenye katiba"
KUNA MAMBO HAWA JAMAA ZETU HUWA WANAONGEA KWA KUJIAMINI HALAFU MWISHO WA SIKU WANAJIKUTA WAMEIVUA NGUO SERIKALI WAO WAKIAMINI WANAFANYA UTETEZIKwahiyo hao wanaoteka na kupoteza watu wameishinda "serikali"?
God damn that sonofabitch!Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alipokuwa akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV, Juni 8, 2026 amesema Serikali haihusiki na utekaji wala watu kupotea bali inawabika kusimamia haki za msingi za wananchi kwa mujibu wa Katiba
"Sasa nisisitize maeneo haya, kumekuwa na muda mrefu upotoshaji wa muda mrefu unaosemwa kwa kuonekana, ukisema mara nyingi bila kukanushwa au kupewa majawabu, matokeo yake unaonekana kuwa ni ukweli, hata kama ni uongo.
Sasa lazima tujue kwamba serikali haiteki, serikali haipotezi mtu, serikali inao wajibu wa msingi wa kisheria wa kufuata taratibu na haki za binadamu. Utawala wa sheria tunasimamia, na ndio maana tuna utawala bora pia, ndio msingi ule uliojikita katika kuhakikisha kuna utawala wa sheria. Tuna Bunge, kuheshimu uwepo wa Bunge, lakini pia uheshimaji wa uwepo wa mahakama, lakini pia uwepo wa serikali kwa maana ya Executive.
Sasa katika utaratibu uliopo wa kisheria, wa kikatiba, kama nilivyoeleza ibara ya 8, kwa madaraka ambayo serikali iliyoingia madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi, inakuwa na wajibu wa kusimamia sasa haki za jumla kwa msingi wa kikatiba. Haki za kisiasa na taratibu za kisiasa na sheria zilizotungwa, sera, taratibu na kanuni, lakini pia haki za kiuchumi zilizo-expressed kwenye katiba"
Unaisingizia serekare mtekaji mkuu ni juma necha.Hata waokota makopo wanajua ni nani wauji na watekaji.
Mbona kama nyani wa SingaporeHuyu akili aliziacha Chadema sasa amekuwa zwazwa tuView attachment 3604101