Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Waziri wa Mambo ya Ndani Patrobas Katambi akizungumza leo Julai 29, 2026, amesema kuwa hakuna kusudio lolote lakulenga Taasisi au mtu, akisisitiza watu kutotetea vitu wasivovijua hasa kwa mashauri yanayoendelea mahakamani.
Mnadhalilisha taaluma ya sheria kuifanya iwe ya makanjanja.Waziri wa Mambo ya Ndani Patrobas Katambi akizungumza leo Julai 29, 2026, amesema kuwa hakuna kusudio lolote lakulenga Taasisi au mtu, akisisitiza watu kutotetea vitu wasivovijua hasa kwa mashauri yanayoendelea mahakamani.
KatambiWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akitoa ufafanuzi Julai 29, 2026 Visiwani Zanzibar baada ya kuwepo kwa malalamiko ya kukamatwa kwa watuhumiwa 130 wa makosa mbalimbali nchini.
“Hakuna mtu ambaye anaweza kulengwa wala hakuna kusudio lolote linalokusudia kumlenga mtu au taasisi na kama ingekua kuna lengo maalumu mbona kuna wanataaluma wengi wako huru, kwahiyo tusitetee vitu ambavyo hatuvijui na hasa kwenye mashauri ambayo yako mahakamani kwa sasa hatuna ujasiri wa kuyahoji” - Katambi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akitoa ufafanuzi Julai 29, 2026 Visiwani Zanzibar baada ya kuwepo kwa malalamiko ya kukamatwa kwa watuhumiwa 130 wa makosa mbalimbali nchini.
“Hakuna mtu ambaye anaweza kulengwa wala hakuna kusudio lolote linalokusudia kumlenga mtu au taasisi na kama ingekua kuna lengo maalumu mbona kuna wanataaluma wengi wako huru, kwahiyo tusitetee vitu ambavyo hatuvijui na hasa kwenye mashauri ambayo yako mahakamani kwa sasa hatuna ujasiri wa kuyahoji” - Katambi
Mbona sheria ipo........yule Mkuu wa usalama wa taifa ...IMRAN KOMBE ..TIS aliyeuawa kwa kupigwa risasi na askari akiwa shambani kwake mke wake alipata fidia kutoka serikaliniKuwe na utaratibu wa mahakama kuamuru serikali ilipe fidia watu walioshitakiwa kwa makosa ya kubumba