Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
DahHaka kajamaa (naomba msamaha kama nimemkwaza mtu) lakini hakana haiba kabisa wa kuwa kiongozi. Utafikiri ni ka-house boy. Hakana kitu kichwani na kamejaa kiburi na inferiority complex kali sana,
Kajinga,kajinga sana!Haka kajamaa (naomba msamaha kama nimemkwaza mtu) lakini hakana haiba kabisa wa kuwa kiongozi. Utafikiri ni ka-house boy. Hakana kitu kichwani na kamejaa kiburi na inferiority complex kali sana,
Usihofu, yupo hapo kwa muda tu, soon ataondoka.Haka kajamaa (naomba msamaha kama nimemkwaza mtu) lakini hakana haiba kabisa ya kuwa kiongozi. Utafikiri ni ka-house boy. Hakana kitu kichwani na kamejaa kiburi na inferiority complex kali sana,
Wivu na Chuki za kijinga tu zimekujaa unalolote, kipi ambacho hajaeleweka hapo!?Haka kajamaa (naomba msamaha kama nimemkwaza mtu) lakini hakana haiba kabisa ya kuwa kiongozi. Utafikiri ni ka-house boy. Hakana kitu kichwani na kamejaa kiburi na inferiority complex kali sana,
Bahati mbaya sana kwako, mimi sinaga chuki na wivu wa kijinga. Haka-kajaa siku zote huwa kanaonekana kama kana inferiority complex ya aina fulani. Inaonekana makuzi yake yalikuwa ya shida sana.Wivu na Chuki za kijinga tu zimekujaa unalolote, kipi ambacho hajaeleweka hapo!?
Hii ni kweliHaka kajamaa (naomba msamaha kama nimemkwaza mtu) lakini hakana haiba kabisa ya kuwa kiongozi. Utafikiri ni ka-house boy. Hakana kitu kichwani na kamejaa kiburi na inferiority complex kali sana,
Kwa hiki alichokiongea hapa, wewe unashida nacho kwamba sio sahii?Bahati mbaya sana kwako, mimi sinaga chuki na wivu wa kijinga. Haka-kajaa siku zote huwa kanaonekana kama kana inferiority complex ya aina fulani. Inaonekana makuzi yake yalikuwa ya shida sana.
Yaani ukikaondolea suti kanaonekana kama kibaka au mlevi wa gongoHaka kajamaa (naomba msamaha kama nimemkwaza mtu) lakini hakana haiba kabisa ya kuwa kiongozi. Utafikiri ni ka-house boy. Hakana kitu kichwani na kamejaa kiburi na inferiority complex kali sana,
Na AKWENDEUsihofu, yupo hapo kwa muda tu, soon ataondoka.
WanakadinyaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, amesema uhuru wa kuzungumza upo, lakini muhimu ni kuzingatia maudhui ya kile kinachozungumzwa. "Uhuru wa kuzungumza upo, lakini unazungumza nini?" alihoji.
Soma Pia: Katambi: Jeshi la Polisi haliteki bali linakamta
View attachment 3602039
Sema kweli kwa hiyo ni ka waziri mchele mchele?Wanakadinya
Zungumza Yanga na Simba na TFF na FIFA.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, amesema uhuru wa kuzungumza upo, lakini muhimu ni kuzingatia maudhui ya kile kinachozungumzwa. "Uhuru wa kuzungumza upo, lakini unazungumza nini?" alihoji.
Soma Pia: Katambi: Jeshi la Polisi haliteki bali linakamta
View attachment 3602039
Ndio ipo hivyo hata kwa GewasonUtafikiri ni ka-house boy.
Naunga mkono hoja>>>>Haka kajamaa (naomba msamaha kama nimemkwaza mtu) lakini hakana haiba kabisa ya kuwa kiongozi. Utafikiri ni ka-house boy. Hakana kitu kichwani na kamejaa kiburi na inferiority complex kali sana,