Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mh. Katambi turuhusu RASMI nasi raia wenye akili timamu tuvisaidie vyombo vya Ulinzi na Usalama kuwashughulikia hawa wahuni wanaopanga kuandamana. Mlinda amani ni mwananchi. Turuhusu tutekeleze kwa vitendo na kwa kutimiza wajibu!Waziri wa Mambo ya Ndani Patrobas Katambi amesema kuanzia leo Julai 4, 2026 mtu yeyote atakayetamka neno maandamano awe tayari na barua inayomruhusu na awe amefuata taratibu zote za kufanya maandamano.
Katambi amesema hayo akizungumza na bodaboda Kariakoo jijini Dar es Salaam na kubainisha kuwa hiyo ni dawa ya kukomesha uchochezi.
Soma Pia: Katambi: Nchi jirani zinachochea machafuko ili tushuke kiuchumi
"Kuanzia leo kwa sababu tupo tayari na kwenda mbele yoyote yule ambaye atakuja kutamka sijui tunaanzisha maandamano tunaweka dawa ya mwisho hautatamka maandamano kama haujafuata utaratibu...ukitamka maandamano uwe umeshachukua barua" amesema Katambi.
Unabarua mkuu? Ila kutawaliwa na akili hizi Karne hii shida sana.Maandamano
Kwani CPA inasemaje kuhusu kutamka neno MAANDAMANO??? π€π€π€Waziri wa Mambo ya Ndani Patrobas Katambi amesema kuanzia leo Julai 4, 2026 mtu yeyote atakayetamka neno maandamano awe tayari na barua inayomruhusu na awe amefuata taratibu zote za kufanya maandamano.