HICHO KIPAJI, Hata mie napenda comedian wa namna hii.Anafurahisha hatumii nguvu sana wala havai nguo za kuchanika na kukinja sura kama wengine
Nimempenda na kipaji chake
Jamaa ni shidaa yani....Hawa jamaa naona hii collabo yao inaweza kuwa gumzo kwa staili waliokuja nayo, nimeona clip zao kwa kweli wanaonyesha ubunifu flani hivi wa kuvutia kiaina, huyu Katarina wa Karatu daah, ni bonge la comedian na lafudhi yake anaacha watu hoi halafu anajiamini sana! Bila shaka wapo wanaowafahamu kiundani...