Katarina &Hd, Comedian

Dahhhh mimi ya kitwanga ndo iliniua balaa yani yule hd ni noma sana
 
Nawakubali kinoma Hawa watu yan mi Katarina kabla hajaongea nikimuona natabasamu tu mwenyew
 
Mc Pili Pili ni mjanja, anamtumia huyu dada kujinufaisha yeye. Hajui kum'brand na shows wanazofanya anamlipa kiduchu.
Ni bora kuliko akiendelea kubaki Arusha anadoda tu....walau Pilipili anampa jukwaa ni kazi kwake kujiongeza.......

Kule Arusha hakuna anachofanya zaidi ya kusubiri mikutano ya Chadomo ndio apande jukwaani.
 
Ni bora kuliko akiendelea kubaki Arusha anadoda tu....walau Pilipili anampa jukwaa ni kazi kwake kujiongeza.......

Kule Arusha hakuna anachofanya zaidi ya kusubiri mikutano ya Chadomo ndio apande jukwaani.
Mkuu bora hata hao waliokuwa wakimpa support huko Ar wamemfanya akahit na kujulkana! Lakini kwa pilpl sina hakika sana kama atamfikisha mbali, angepata kampuni au mtu ambaye anafanya kazi ya kupromote pekee yake ingekuwa poa sana, Pilpl anafanya kupromote na ukomedy hapo hapo jambo linaweza leta mgongano wa kimaslahi hapo baadae...
 
Support gani walimpa zaidi ya kujulikana tu hapo hapo Arusha....Kwa kufanya kazi na Pilipili ameshafanya interview nyingi na za maana na show kadhaa za mikoani....ni wengi wameshamjua sasa akili kichwani kwake ila ni lazima atambue mchango wa Pilipili.....asipotopshwe akavimba kichwa na kunyea kambi.

Akishaota mbawa ajiongeze, aruke akajitegemee....sidhai kama Pilipili atamuwekea gundi.
 
Katarina na gest za mwanza kaaaa hatari
 
Rohoo inaniuma wanavyokuwa wapo vizuri kiasi hicho halafu hawajapata bado vipindi/publicity kwenye media kubwa kama ITV
 
Anafurahisha hatumii nguvu sana wala havai nguo za kuchanika na kukinja sura kama wengine
Nimempenda na kipaji chake

Daaaah mi nachukia sana wale wanaovaa manguo ya hovyo, au kupindisha pindisha midomo ili wachekeshe wananiudhi balaaaa.....Sjui kwa nini miaka ileeeeeee nilikuwa nacheka
 
Rohoo inaniuma wanavyokuwa wapo vizuri kiasi hicho halafu hawajapata bado vipindi/publicity kwenye media kubwa kama ITV
Kweli kabisa mkuu...hivi vituo ambavyo ni vya public inabidi kwa kweli wawape nafasi bila shaka wataleta mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya burudani hasa kwenye comedy, makundi ya comedy yaliyopo kwa sasa yamekosa mvuto kabisa, ila sasa tatizo linakuja pale watakapojaribu kugusa baadhi ya mambo kwenye serikali hapo watapigwa ban...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…