Anatumia jina gani?Anachekesha kwenye stand up comedy ila Mimi namuangalia Sana Instagram
Nenda youtube anavideo zake nyingi sana utazionaAnatumia jina gani?
Mkuu comedy ni kipaji cha kuzaliwa nacho na wala sio kutumia nguvu nyingi na kubadilisha sauti, mimi binafsi nawapenda wanaochekesha na sauti zao wenyewe, MF. Katarina, mpoto, tin white n.kTatizo bongo mshazoea komedi ni kuvaa kikike na kujipaka paka masinzi.....love this woman.
Au kuongea kama punguani na visauti vya ajabuTatizo bongo mshazoea komedi ni kuvaa kikike na kujipaka paka masinzi.....love this woman.
Wanaboa sana kumbe hawajui wana promoti ushoga..mwanaume kuvaa matambala ya wowowo...this comedeans sucksAu kuongea kama punguani na visauti vya ajabu