Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania

Me hajawahi nichekesha licha ya kuona clip zke uko insta vichekesho anavyofanya havina ubunifu unaweza predict neno au tendo gani hatafanya
Vichekesho vyake vingi ni vya kusikiliza (audio) too much talking....kwa 'stand up' ina work fine...ila kwa video ni kupotezea watu bando bure.

Alafu kwa bahati mbaya Wasanii wachekeshaji wengi Bongo uwezo wao ni kuongea tuu.....yule Pilipili ndio kachukua kipindi cha Wakenya kilichonuiwa kuwa "silent" yeye anajazia sauti....sasa sijui ni nini anafanya maskini ya Mungu.
 
Me hajawahi nichekesha licha ya kuona clip zke uko insta vichekesho anavyofanya havina ubunifu unaweza predict neno au tendo gani hatafanya
haaaaa lol..

mi huwa ananichekesha... hivi mpenzi wa Madame Sepetu ulishawahi sikiliza vichekesho vyake
 
Sihuwa yuko na hd jaman??!!Au ye hachekeshi?
 
Ah yule pilipili me naona n m.c tu sio mchekeshaji yule ana maneno mengi halafu hayana hata mvuto
Wakina mkude simba naona ndo wapo vizuri
 
haaaaa lol..

mi huwa ananichekesha... hivi mpenzi wa Madame Sepetu ulishawahi sikiliza vichekesho vyake
Nishawahi visikia uwa anajitahidi sana sana ile style yke ya lip sync kwa mastaa ndo uwa anapatia km ile ya baraka n naj au ile ya picha ya yesu "harmonize nitakupiga makofi"
 
Kumbe ni wakenya.. Nakipenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…