CCM wana mambo ya kipumbavu mno sijapata kuona, hawa jamaa wamelewa madaraka na wanaamini wanaweza kufanya chochote kile. Rushwa ya magari na fedha waliyowapa jeshi la Polisi ndio wanaringia humo. Nyie polisi wa vyeo vya chini, acheni ujinga kamwe hamuwezi kunufaika na mgao wa wakubwa. Tumieni akili.