Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Unbelievable yaani mafuta ya kula ya Korea litre 10 ni 67000/=
Unga wa ngano 25kg ni 44000/=
Sabuni takasa box moja ni 17000/=
Sukari 25kg ni 63000/=
Soda zilianza kuadimika hata kabla ya vita
Na hizo bidhaa zilianza kupanda hata kabla ya vita
Mwaka jana mwezi kama huu wa tatu sukari pekee ndiyo ilipanda mwaka...
Awamu iliyopita bei hazikuwa hivi tuongee ukweli ....Maza anaendezwa na kudanganywa et vita vimetuponza!
Me sijui Chief anatupeleka wap!