KATAVI: Bei za bidhaa zazidi kupaa hewani

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Unbelievable yaani mafuta ya kula ya Korea litre 10 ni 67000/=
Unga wa ngano 25kg ni 44000/=
Sabuni takasa box moja ni 17000/=
Sukari 25kg ni 63000/=
Soda zilianza kuadimika hata kabla ya vita
Na hizo bidhaa zilianza kupanda hata kabla ya vita

Mwaka jana mwezi kama huu wa tatu sukari pekee ndiyo ilipanda mwaka...

Awamu iliyopita bei hazikuwa hivi tuongee ukweli ....Maza anaendezwa na kudanganywa et vita vimetuponza!

Me sijui Chief anatupeleka wap!
 
Hawaelewi kiti hao maana vitu wanavikuta tu ndani hawanunui hvyo hawawezi wakajua
 
Yaani serikali imeshadadia vita utafikiri Tanzania ndio inapigana na Russia.
 
Bado madelu ataendelea na majigambo yake ya kusifia sera na kujificha kwenye kichaka cha vita ya Ukraine........
 
Hizo bei hapo ndounachukulia mjini... Je! mwananchi wa Karema huko, Mwese, Majimoto itakuwaje
 
Uko Mpand mjinisiyo vifah vya ujenzi itakuwaje

Pale papuchi kwa mtaa wa chui na Simba ndio Bei Chee tu
 
Ni effect za barabara mpya!
Maana yake wateja wameongezeka

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Uko Mpand mjinisiyo vifah vya ujenzi itakuwaje

Pale papuchi kwa mtaa wa chui na Simba ndio Bei Chee tu
Daaaa!!hiyo mitaa ni hatari, la PALMA, DIGITAL, na VALENCIA!!, ukiwa maeneo hayo utafikiria labda upo kwenye visiwa vya jamaica huko!!!
 
Kwani WAZIRI MKUU MSTAAFU mzee Pinda ambaye ni mzaliwa wa Katavi Anasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…