Pre GE2025 Katavi: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Pre GE2025 Katavi: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

1. Geoffrey Mizengo Pinda – Mbunge wa Kavuu

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kura katika Uchaguzi wa 2020: 41,401 (alishinda dhidi ya Stephen Mertus Hamis wa CUF aliyejipatia kura 2,920)

Elimu

Ndurumo Primary School (1977-1983)
Mgulani JKT Secondary School (1992-1995)
Diploma kutoka Centre for Foreign Relations (2003-2004) na Certificate (2001-2002)
Bachelor’s Degree kutoka Open University of Tanzania (2010-2016)

Uzoefu wa Kazi:

Alihudumu katika Tanzania People’s Defense Forces (1989-2018)
Alifanya kazi katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (2005-2018)

Uzoefu wa Kisiasa:

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Naibu Waziri wa Katiba na Mambo ya Kisheria kabla ya kuingia kwenye Wizara ya Ardhi

Michango Bungeni:

Pinda ametoa michango 12 na kujibu maswali 184 ya wabunge.

2. Sebastian Simon Kapufi – Mbunge wa Mpanda Mjini

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kura katika Uchaguzi wa 2020: 24,202 (alishinda dhidi ya Rhoda Edward Kunchela wa CHADEMA aliyejipatia kura 13,611)

Elimu

Gongoni Primary School (1977-1983)
Ilboru Secondary School na Kazima Secondary School (1984-1990)
Professional Certificate kutoka Police College Moshi (1993)
Basic Certificate in Hotel and Tourism Management kutoka Maruhubi Hotel and Tourism College, Zanzibar (1995-1996)
Bachelor’s Degree kutoka Open University of Tanzania (2012-2017) na ufanisi katika sheria

Uzoefu wa Kazi:

Mkurugenzi wa Katavi Kapufi Co Ltd (1999-2015)

Uzoefu wa Kisiasa:

Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM katika Shule ya Sekondari ya Ilboru (1988-1989)
Mwanachama wa CCM katika ngazi ya wilaya (2000-2005)
Mwenyekiti wa CCM Wilaya (2007-2012)
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya na Halmashauri Kuu ya Mkoa (2012-2017)


3. Selemani Moshi Kakoso – Mbunge wa Mpanda Mjini

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kura katika Uchaguzi wa 2020: 35,092 (alishinda dhidi ya Emanuel Sisto Lusumbo wa CHADEMA aliyepata kura 5,350)

Elimu

Mpandago Primary School (1977-1983)
Milala Secondary School (2010-2014)
Chuo cha Ushirika Moshi (2003-2004)

Uzoefu wa Kazi:

Mkurugenzi wa Mpanda Kati Tobacco Growers (2003-2006)
Mkurugenzi wa LATCU Ltd. (2005-2013)
Mjumbe wa Bodi ya Ushirika Dar es Salaam (2005-2014)
Mkurugenzi wa APEX Morogoro (2011-2013)

Uzoefu wa Kimataifa:

Mjumbe wa I.T.G.A World Lisbon (2007-2014)
Mjumbe wa I.T.G.A Africa Malawi (2007-2013)

Michango Bungeni:

Kakoso ametoa jumla ya michango 64 na ameuliza maswali 144.

4. Anna Richard Lupembe – Mbunge wa Nsimbo

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kura katika Uchaguzi wa 2020: 38,392 (alishinda dhidi ya Philipo John Mallac wa ACT Wazalendo aliyejipatia kura 1,292)

Elimu

Chemchemi Primary School (1973-1979)
Namfua Secondary School (1980-1983)
Mafunzo ya kitaaluma ngazi ya cheti kutoka vyuo viwili (1990-1991) Dr. Amon Nsekele na Iringa


Uzoefu wa Kazi:

Mjumbe wa Bodi ya TANTRADE (2007-2013)
Mjumbe wa Bodi ya Makumbusho ya Taifa (2009-2012)
Katibu wa Benki ya Taifa ya Microfinance (1987-1997)
Karani katika Benki ya Taifa ya Microfinance (1997-2001)

Michango Bungeni:

Lupembe ameongoza michango 36 na ameuliza maswali 67.
 
Back
Top Bottom