KATAVI EFFECT: Je Wakuu wa Wilaya Mawaziri mmejiandaa vipi kwa kupokea mkeka wenu wa utenguzi?

KATAVI EFFECT: Je Wakuu wa Wilaya Mawaziri mmejiandaa vipi kwa kupokea mkeka wenu wa utenguzi?

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,139
Reaction score
2,223
Kwanza naanza kwa kutoa salam za dhati na uchovu wa safari mheshimiwa Rais hapo katavi ulipo ngoja niende moja kwa moja kwenye mada chokozi

Rais yupo Ziarani Mkoa Katavi, kaambatana na manaibu mawaziri wengi tu huku kukiwepo na taarifa wakati wowote akiwa Katavi au kurudi Dar es salaam baada ya kutoka katika atafanya mabadiliko katika nafasi mbalimbali za wakuu wa wilaya na mawaziri pia.. tunaiita katavi EFFECT.

Kuna Mawaziri nimewaona wameenda kule sidhani kama kawaita [emoji28] yeye kaambatana na watu wake aliotaka awe nao.

Katibu wake ni mtu mvumilivu sana anaweza akawa anajua kabisa wewe unatenguliwa lakini akazungumza na wewe kwa utulivu mno kama hakuna chochote kinachotokea .

Najua mnapata usingizi wa mang'amung'amu kwa siku hizi Samia akiwa kikazi Katavi..hivyo ndivyo ilivyo Teuzi wakati wowote atateuliwa wakati wowote utatenguliwa .[emoji28]

Swali fikirishi . KATAVI EFFECT: Je wakuu wa wilaya mawaziri mmejiandaa vipi kwa kupokea mkeka wenu wa utenguzi?..

KATAVI EFFECT itakukuta ukiwa wapi?
 
Wanajiandaa kwa kupiga maburungutu huko ofisini maana wakitoka hakuna wa kuwahoji
 
Mimi ni Rais mwenye umbo la...aisee moto unawaka...Fear and Respect women..👋🏼
 
Waondolewe tu wasije tuletea migomo ya wafanya biashara maduka yakafungwa nchi nzima na tukakosa kununua mahitaji muhimu
 
Naibu waziri wa kilimo alikuweko?
Naibu wa maropes alikuwepo
Naibu wa mmauya alikuwepo
Je naibu wa madelu?
 
Back
Top Bottom