LGE2024 Katavi: Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi, apiga Kura Kata ya Nsemulwa, apongeza mwitikio wa Wananchi

LGE2024 Katavi: Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi, apiga Kura Kata ya Nsemulwa, apongeza mwitikio wa Wananchi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini mkoani Katavi Sebastian Kapufi amepiga kua katika kata Ya Nsemulwa kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wa serikali za mitaa.

Akiwa hapo Kafupi amesema kuwa hali ya watu kujitokeza ni nzuri huku akisisitiza watu kujitokeza mapema kwakuwa utaratibu unaotumika ni mzuri na watu hawachelewi kwenye foleni.

Back
Top Bottom