LGE2024 Katavi: Mwenyekiti wa CHADEMA: Tunaamini katika haki, maendeleo na kutetea Watanzania kuliko matumbo kama wanavyofanya CCM

LGE2024 Katavi: Mwenyekiti wa CHADEMA: Tunaamini katika haki, maendeleo na kutetea Watanzania kuliko matumbo kama wanavyofanya CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Bado siku moja kutoka sasa kuelekea katika siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika Novemba 27, 2024.

Wagombea kutoka vyama mbalimbali wamendelea kunadi sera zao na Ilani ya chama ili wananchi wakafanye hukumu yupi anafaa kuwa kiongozi katika Kitongoji, Kijiji, au Mtaa wao.
==============================
Mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema mkoani Katavi akizungumza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Novemba 22 Kigamboni Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi

Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

 
Tuache uongo haiwezekani kuwatetea Watanganyika huku tumbo lina njaa😏
 
Back
Top Bottom