Kuna maeneo nchi hii kuipata tbc tu ni shughuli pevu, tena ni katikati ya nchi. Masafa ya fm hapo tu manyoni na itigi tbc haipatikani, kuna redio moja inayomilikiwa na dini ndio inasikika tena kwa taabu. Jiji la dodoma redio nyingi za dar zinasikika hapo lakini usikivu haufiki manyoni iliyo karibu na dodoma. Huo mfuko wa mawasiliano ufanye utafiti kuna maeneo mengi tu kupata matangazo ya redio za kitafa hazipatikani