Habar wakuu
Nimewaza kwny ili katazo nmeona serikali haikufikilia ki2 kimoja wanapokataza mifuko hii nalo n
Wanatusaidiaje 2naovalia Rambo suluar maana bila lambo utaishia kuchana suluar👌👌
Mkuu hiyo ndio ukisikia fursa kwenye matatizo sasa,wewe tengeneza aina ya utelezi bila kujali utatumia bamia au nini ili wavaa visuale vya kubana uwapate.Changamka mkuu wakati wako huu usiishie kuwaza tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.