Katazo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (Amos Makala) ladharauliwa

Queen Esther

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
2,206
Reaction score
1,464
Hello Home of Great Thinkers!

Nipo hapa Bahari Beach Mtaa wa Simba ukitokea Jambo Super Market.

Ipo baa imefunguliwa hapa tena kwenye maeneo ya makazi. Mpaka muda huu inapiga muziki ukiwauliza wanasema hawatishwi na kelele za RC.

Naomba utume vijana wako muda huu waje wajionee dharau kubwa unayofanyiwa Mkuu wa Mkoa. Mbona Dodoma wamefanikiwa? Shida ni nini Dar? Au ndio shamba la bibi?
 
Hizi kelele ni kero tu ukiwa nje ya hizo bar au uwe nyumbani.....ukiwa mmoja wao unainjoi sana yani vyombo vikikolea unacheza hadi unainua mguu mmoja juu huku unazunguka meza za walevi wenzio na hautamani mziki uishe saa nane usiku utadhani saa moja kasoro. Sijui itakuaje....
 
Punguza ukuda kwa raia wenzako ambao kwa mapenzi yao ya dhati wameamua kulipa kodi bila shurti,,,hizo sio kelele ni hamasa kwa walipa kodi hao ni kama harambee tu bila vaibu hainogi
 
Unadanga?
 
Dodoma ipi????!!!
 
Itakuwa walikataa kukukopesha bia, mbona baa zote zipo kwenye makazi, tutajie baa ambazo hazipo kwenye makazi, je, baa hiyo imejengwa baada ya agizo au kabla? Post yako ingeleta hoja kama ungeweka kipimo cha sauti(db) ulichokikuta ukilinganisha na db zilizoruhusiwa ambacho huenda haukijui.
 
Tangu kituo cha polisi kibomolewe hilo eneo limekuwa la kiswahili sana!
 
MAKALLA HATOSHI KABISA KUWA MKUU WA MKOA WA HILI JIJI
 
Acha kumuongezea Amos kazi.
Kuna yule meya aliyesema atakomesha madanguro ya Mwananyamala. Asichojua Ni kwamba ametoa location, hata ambao walikua hawajui uwepo wa papuchi za buku mbili Sasa wamejua na zinapopatikana bila kulipa gesti.
Sasa na wewe leo umetoa location. Umewaongezea wateja.
 
Wale waliofungiwa Dodoma ndiyo walikua targeted kwenye lile aagizo la makelele!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…