Katbu mkuu wa chama cha Sauti ya umma (SAU) ndugu Kyara awasha moto

Katbu mkuu wa chama cha Sauti ya umma (SAU) ndugu Kyara awasha moto

Kichekesho, si wamesema wao watashiriki uchaguzi mkuu na hawatambui ya wale wanaosema no reform no election na wale wengine wenye kufanana misimamo na hawa wa no. Hivi vyama vingine vya siasa ni vituko tu na vije tu kwenye uchaguzi vitavuna vilivyopanda
 
Ushawahi kuona vita bila kumwaga damu
Vita lazima umwage damu

Ova
 
Back
Top Bottom