Kichekesho, si wamesema wao watashiriki uchaguzi mkuu na hawatambui ya wale wanaosema no reform no election na wale wengine wenye kufanana misimamo na hawa wa no. Hivi vyama vingine vya siasa ni vituko tu na vije tu kwenye uchaguzi vitavuna vilivyopanda