Kate, Duchess of Cambrige is pregnant (again)

Hii taarifa inanikumbusha kipindi cha ukoloni wa muingereza hapa Tanganyika
 
Duh huyu fala inamaana ana asili ya kipemba nini maana si kwa kumgegeda dada wa watu mfululizo huko chaaa yaani anataka binti wa watu ajutie

SONY Xperia Z5 Premium
 
Hahahaaa huyu jamaa alimwelewa mkuu aliposisitiza tufyatue.
 
Prince anapachika miti tu...safiii!
 
naona hataki kabisa wengine wasogelee crown
 
Hata ningekuwa mimi, ningezalisha tu kila baada ya miaka 2! Watoto na familia yake wala hawalishi yeye na bado wanaishi maisha ya lakshari! Hapo ni kuzalisha tu walipa kodi watatoa hela ya kulea watoto!
 
Nyota ya kijani tupakule, tuzae tu as far as maids kila kona ya nyumba, watoto wana uhakika wa huduma zote asilimia mia .
 
Halafu hawa wazungu koko ndiyo wanataka sisi huku Africa wanaume wawe wanafyatuana while, wakati yeye ona anafyiatua watoto ili watengeneza kiwanda cha watoto kupitia mke wake.

Wazungu koko wanafiki sana.

Whitemen have light skin but, they have black hearts like charcoals.

White race is a pathetic race in this world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…