Kate Middleton Welcomed To New Zealand By Half Unclad Men

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Kate Middleton and Prince William began their 3-week royal tour of New Zealand and Australia today Monday April 7th, and were greeted by half-Unclad traditional Maori warriors at New Zealand Government House in Wellington. See the way she’s checking the guy out.
 
Utamaduni wa kila jamii lazima uenziwe,ingekuwa bongo wangesema utandawazi unaharibu na kuleta mmomonyoko.Kumbe hata wazungu wana MILA na TAMADUNI ZAO ambazo sisi huku tunadharau tamaduni zetu ambazo ndio utambulisho wetu.
 
Hao ndio wenye asili ya Australia,ikumbukwe wazungu walipelekwa huko kutoka Uingereza walikuwa wafungwa ambao jamii yao hawakutaka waishi nao kwa wakapelekwa bara lingine kama adhabu ili wakafie huko na ndio wakawakatu wenyeji Wabrogino ambao uvaaji huo ndio jadi yao ,pia tatoo ni jadi yao,hata hapa Tanzania na Kenya tuna Wamasai wao chupi ni kama maji na mafuta,ingawa siku hizi ndio wameanza kujisitiri angalau wantupia kaptula wakiwa kwenye lubega
 
Utamaduni wa kila jamii lazima uenziwe,ingekuwa bongo wangesema utandawazi unaharibu na kuleta mmomonyoko.Kumbe hata wazungu wana MILA na TAMADUNI ZAO ambazo sisi huku tunadharau tamaduni zetu ambazo ndio utambulisho wetu.

Huo ndio utamaduni wetu pia lakin ukivaa hivo. Awachelewi kukufunga kamba na kukupeleka mirembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…