Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Mkuu kuwaga serious basi...install VPN kisha search stripchat.comPicha ya huyo Kate, iko wapi tuione huenda ikachochea hamu ya kungonoka....nataka nikwee mnazi hapa
Zee la kunyetuka kwenye moja na mbili 😃😂Picha ya huyo Kate, iko wapi tuione huenda ikachochea hamu ya kungonoka....nataka nikwee mnazi hapa
Haya ndo maneno sasa 😅.Mkuu kuwaga serious basi...install VPN kisha search stripchat.com
Wala hujanisingizia.Zee la kunyetuka kwenye moja na mbili 😃😂
For global awareness, one step at a time.Inasaidia nini sasa?
Ukiwa chawa wa system ya mauaji Huwez kuelewaInasaidia nini sasa?
Kwani Ferdinand alivyokuja Tz mataragio ilikuwa kusaidia nn ndg chawa?!.Inasaidia nini sasa?
Wapelekewe moto mpaka wajifunze jinsi ya kudhibiti njaa zao!Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda.
Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment kwenye page yake Kwa kimlaumu mumewe Kwa kutumika kusafisha watawala. Kwenye post za huyu bi dada comments zinasoma maelfu uku picha na video za kutisha za mauaji ya MO29 zikiwekwa kwenye comment section.
Ziara ya Ferdinand imegeuka kilio Cha kusaga meno kwake na Kwa familia, media za UK zimemngoja Kwa hamu.
Ziara ya Ferdinand Tanzania ni carrier Suicide Kwa mchezaji huyo.
"...career suicide...".Ziara ya Ferdinand Tanzania ni carrier Suicide Kwa mchezaji huyo.
Huwezi kuficha ugonjwa halafu ukasalimika.Hii Si sawa! ingawa kweli inaweza saidia kupeleka ujumbe lakini kuja kujitibu baadae hata kama ccm imeondoka madarakani itakuwa kazi kubwa sana ya kujitakia.
Kwa wewe matako haikusaidii kitu..kkmaInasaidia nini sasa?
Hii Si sawa! ingawa kweli inaweza saidia kupeleka ujumbe lakini kuja kujitibu baadae hata kama ccm imeondoka madarakani itakuwa kazi kubwa sana ya kujitakia.
Binafsi naamini utawala wa ccm hauna muda mrefu tena kwenye hii nchi.Huwezi kuficha ugonjwa halafu ukasalimika.
Hii ndiyo njia sahihi kabisa ya kuueleza ukweli kwa ulimwengu nao wajue kilichotokea hapa.
Unataka kufunika uchafu na uvundo kwa kupulizia manukato?
Unamfichia nani hiyo siri; huyo anayeendelea kufanya uhalifu kwa waTanzania?
Ni muhimu kila kitu kiwekwe wazi, hiyo ndiyo dawa pekee itakayoliponyesha taifa hili.