Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Hivi mkuu, katikati ya simanzi na majonzi unaweza kudindisha na kuukwea mnazi?Picha ya huyo Kate, iko wapi tuione huenda ikachochea hamu ya kungonoka....nataka nikwee mnazi hapa
MkuuPicha ya huyo Kate, iko wapi tuione huenda ikachochea hamu ya kungonoka....nataka nikwee mnazi hapa
Nchi ikipata uhuru kutoka kwa Mkoloni wa Kizanzibari na genge lake dunia nzima itafahamu, usihofu kuhusu hilo.Hii Si sawa! ingawa kweli inaweza saidia kupeleka ujumbe lakini kuja kujitibu baadae hata kama ccm imeondoka madarakani itakuwa kazi kubwa sana ya kujitakia.
He knows politics, UK ndiyo kuna vita social media na social media celebrities personality attacks mara 100 zaidi ya TZ. Mpaka sasa anajua kwamba ameingia cha like ila pesa ameshakula kaamua kuzifanyia kazi vinginevyo azirudishe uone atakavyosifiwa, he knows.Binafsi naamini utawala wa ccm hauna muda mrefu tena kwenye hii nchi.
Concern yangu, ni namna gani tunaweza irudisha image ya nchi kwa watu wenye potential kama tukiwapoteza saivi. (Ukiachana na Rio ambae sioni kama ana effects sana)
Ila kwa trend hii tunaweza haribu kwa watu wenye manufaa zaidi, haina tofauti sana na kuchoma infrustructures
Nyie siku zenu zinahesabika.Sikio la kufa halisikii dawa. Sema pia ni kama hamna akili, hivi dunia ya sasa kweli ni ya kukomaa na utekaji wa kijingq kabisa, tena mnatumia sijui wavuta bangi wale, na mbaya zaidi hampoi yaani.Yaani mama Samia mnamtia katika matatizo makubwa sana, hata kua na uzee mwema na utulivu, savabu ni akili mbovu za watu waliomzungukaVipi wamemtumia na video za wale waharifu waliokuwa wanaua, kujeruhi na kupora Mali za watu?!!!
Anyway, hiyo ni mipango ya mashetani ya nyumbu wa lissu na kitima.....imeshashindwa kabla haijaanza. Na wengine weeeengi watakuja. Kwa kifupi ameni tu nchi lakini kuiharibu na kuzichukua kamwe hamuwezi...kajaribuni Uganda huko kwanza.
Makonda badala ya kuitangaza vizuri Tanzania anaelekea kutangaza mauaji ya Oktoba 29Hongera sana. Mwendo unatakiwa kuwa hivyo hivyo kwa kila mgeni, atakayealikwa na hawa wauaji. Ili kuongeza uelewa kwa jamii ya kimataifa, ya kile kilichofantwa na wauaji mwakajana, na utekaji wa watu unaoendelea.
Kuna baadhi ya maneo kufundisha ni ngumu sana japo Kuna wahuni wanaweza.Hivi mkuu, katikati ya simanzi na majonzi unaweza kudindisha na kuukwea mnazi?
Mi'hushangaa sana, kwenye fumanizi unakuta mtu anabaka/lawiti!
Kwenye taharuki ya vita na umwagaji damu unakuta mtu ana rape!
Wenzetu hizo nguvu katikati ya majanga huwa mnazitoa wapi?
Hakika mkuu.Mkuu
Kunywa Juice Hii, Halafu Ni DM
Tuongee Mambo Ya Msingi Zaidi View attachment 3593188
Naamini hata hivi vikundi vya utekaji vinamadhaifu makubwa sana....! Operation za ndani tu zinawashinda za nje wataweza kweli?? Hivi kwa mfano wanaweza kwenda hata hapo Kenya wakamchomoa mtu wakaondoka nae bila kuacha alama kweli?? Wameiva kimafunzo kweli? Maswali ni mengi sana juu ya watu hao.Nyie siku zenu zinahesabika.Sikio la kufa halisikii dawa. Sema pia ni kama hamna akili, hivi dunia ya sasa kweli ni ya kukomaa na utekaji wa kijingq kabisa, tena mnatumia sijui wavuta bangi wale, na mbaya zaidi hampoi yaani.Yaani mama Samia mnamtia katika matatizo makubwa sana, hata kua na uzee mwema na utulivu, savabu ni akili mbovu za watu waliomzunguka
Kama hata hii huelewi basi wewe ni kibuyu kabisa.Inasaidia nini sasa?
Chadomo acheni porojoDaa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda.
Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment kwenye page yake Kwa kimlaumu mumewe Kwa kutumika kusafisha watawala. Kwenye post za huyu bi dada comments zinasoma maelfu uku picha na video za kutisha za mauaji ya MO29 zikiwekwa kwenye comment section.
Ziara ya Ferdinand imegeuka kilio Cha kusaga meno kwake na Kwa familia, media za UK zimemngoja Kwa hamu.
Ziara ya Ferdinand Tanzania ni carrier Suicide Kwa mchezaji huyo.
Ndio maana sauti za watoto zinasikika kila konaWala hujanisingizia.
Baada ya mauaji ya 29/10, eti unampa Makonda jukumu la kuisafisha nchi! Una akili wewe? Hawa watu wajinga kweli kweli. Ndivyo wanavyozidi kutangaza mauaji baadala ya kufunika.Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda.
Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment kwenye page yake Kwa kimlaumu mumewe Kwa kutumika kusafisha watawala. Kwenye post za huyu bi dada comments zinasoma maelfu uku picha na video za kutisha za mauaji ya MO29 zikiwekwa kwenye comment section.
Ziara ya Ferdinand imegeuka kilio Cha kusaga meno kwake na Kwa familia, media za UK zimemngoja Kwa hamu.
Ziara ya Ferdinand Tanzania ni carrier Suicide Kwa mchezaji huyo.