Katelephone kafanye checkup nje ya nchi. Utanishukuru

Nilikupata hapo kwenye pilipili..ila kiukweli naelewa asilimia 1 tu kati ya 100...na hata hiyo pilipili nakosa muunganiko na story nzima..kwakua uzi wote mzito
ANGALIA HAPA
Pili-ka pili-ka
PILI PILI
Pole pole
PIki PIki
HALAFU PIki PIki, NAMBA ZAKE zinaanza NA MC
Ukiwaona WATU WA linguistics, WANAWEZA kukujulidha KUWA HII NI morphology, NA PIA MANENO HAYA yanafanana KWENYE rhyme; MC PIKIPIKI, Bajaj AU boda+boda. Huoni KUWA KUNA mfanano unaoleta MAANA HAPA?
 
Dr love pimbi namfananisha na huyu jamaa.
Mbona katulia tu hana hekaheka,
Km shamba boy wake kule na zama "tumepata ulisi'
 
Naomba unitag huo uzi mkuu
 
Yeah i see..ntatumia mifano hiyo ku decode
 
Yeah i see..ntatumia mifano hiyo ku decode
HAPO SASA unaongeza NA NENO JINGINE boda boda, AMBALO linatokana NA NENO BORDER, AU mpaka WA NCHI, HALAFU unaunganisha tena NA KILE alichoongea WAZIRI MKUU JANA KWENYE media

KUNA ujanja ujanja WA kipumbavu SANA AMBAO ulishaota mizizi KWENYE NCHI HII safari HII SERIKALI INABIDI WASHUGHULIKIE NAO KUING'OA KABISA MIZIZI YAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…