Kathbert: Gospel yanipa utajiri

Wandani tv

Member
Joined
Feb 22, 2019
Posts
7
Reaction score
9
Msanii wa gospel nchini kathbert mwindi kaliambia jarida la Wandani tv kuwa toka aokoke ameanza kuona mabadiliko ya kiroho na maisha pia,, nimeamua kumtumikia yesu kutoka moyoni, sasa nakesho kunabaadhi ya wasanii wa music wa kidunia nawashanga sana kuto niamini,najuafika itawauwia ugum kuniamini sababu nilipokua ilikuwa ngum kutoka ila nimeamini kwayesu hakuna kinacho shindikana,Nina album ya gospel nakwenda kuiachia ivi karibuni ila kwasasa nitatoa 3 mfululizo kabla ya uzinduzi wangu, nanyie ambao hamjaokoka njooni kwa yesu hakika kunaraha, ayokayazungumza kathbert mwindi.
 
Kweli hata muonekano anaonekana AMETAJIRIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…