Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri nwa trekta unategemea. Massey Ferguson nyingi zinatengezwa kwa matumizi mya Ulaya/USA, labda upate zile za zinzotengenezwa Pakistan. Hizo zingine zimezoa udongo ambao umekuwa ukilimwa kwa trekta zaidi ya miaka 100. Pia kumbika kule Ulaya kuna vitendea kazi vya kuondoa visiki.Massey nasikia iko vizuri sana kulima ardhi ngumu. Pia hizo zina namba kuna namba nyungine nzuri kwa ajili ya kufanya pulling tu. Pia massey kwa ujumla wake ni imara ukilinganisha na hizi New holland ambazo siku hizi wengi wanalia sana sababu kiharibika hazikawii